Huu ni mkusanyiko wa maandiko kutoka kwa baadhi ya wasomi wetu na waandishi mahiri wa falsafa za kiliberali.  

 

Ni muhtasari wa maadili yetu ya msingi unaotumika kama utangulizi wa mambo tunayoyazungumza kila siku hapa African Liberty.

 

Tunategemea kwamba yatakuvutia na yataendana na fikra zako za kupenda uhuru.